Madaktari zaidi ya mia mbili katika kaunti ya Nakuru wametishia kugoma kwa madai kuwa serikali ya kaunti ya Nakuru imewatelekeza . Katibu mkuu wa muungano wa madaktari nchini KMPDU Daktari  Davji Atella amesema kuwa madaktrari hao wanafanya kazi katika mazingira duni ,wengine wao wakipunguziwa mishahara.

X
Designed By Koyowe