Madaktari zaidi ya mia moja katika kaunti ya Nakuru wanashiriki mgomo kuanzia leo kushinikiza serikali ya kaunti ya Nakuru kutekeleza mkataba wa maelewano. Madaktari hao wanalalamika kuwa wanafanya kazi katika mazingira duni

X
Designed By Koyowe